Featured

VIBOKO 70 WAVAA MILEGEZO

VIBOKO 70 WAVAA MILEGEZO

 

kata kWakazi wa Kata ya Karansi, Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro wametoa uamuzi kuwa wanawake watakaovaa sketi fupi na vijana watakaovalia suruali chini ya kiuno, kuadhibiwa kwa kuchapwa viboko 60 hadi 70.

Uamuzi huo umefikiwa na wakazi zaidi ya 200 wakisema uvaaji huo ni kinyume na mila na desturi za Kiafrika sambamba na kupiga marufuku uvaaji suruali kwa wanawake pamoja na vijana kunyoa ndevu mitindo isiyofaa.

surualiMkutano huo ulioandaliwa na wazee wa kimila jamii ya Meru (Wachili) na Wamasai (Malaigwani), uliwavutia wananchi wengi ambao walihudhuria na kufikia makubaliako kuwa zoezi hilo litafanyika hadharani huku adhabu hiyo pia ikiwahusisha wezi wa mali na wanaopenda kucheza pool table wakati wa kazi.

Kamanda wa Polisi Mkoani hapa, Wilbrod Mutafungwa alipinga uamuzi huo akisema kwa maazimio hayo ya kuwaadhibu watuhumiwa kwa kuwachapa viboko ni kujichukulia sheria mkononi na ni kinyume na sheria.

BOFYA PICHA HAPA CHINI UONE PICHA ZA UCHI BONGO HASA USWAZI
DON'T FORGET TO LIKE THE PAGE IN ORDER TO GET NEWS UPDATES HAPPEN AROUND THE WORLD

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Habari Na Burudani Published.. Blogger Templates
Back To Top