Featured

PITIA HII KAMA ILIKUPITA, PICHA 8 ZA JENGO LA NSSF LILIVYO WAKA NA KUTEKETEA KWA MOTO JANA POSTA JIJINI DAR ES LAAM.

Jengo lililoko eneo la akiba posta jijini Dar es salaam limeripotiwa kuwaka moto kuanzia majira ya jioni na chanzo cha moto huo kinasemekana ni mtungi wa gesi kulipuka na kusababisha moto.

Inasemekana hakuna madhara makubwa kutokana na zimamoto kufika kwa wakati katika eneo la tukio.  

BOFYA PICHA HAPA CHINI UONE PICHA ZA UCHI BONGO HASA USWAZI
DON'T FORGET TO LIKE THE PAGE IN ORDER TO GET NEWS UPDATES HAPPEN AROUND THE WORLD

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Habari Na Burudani Published.. Blogger Templates
Back To Top