Featured

PAKA ANAYE SADIKIKA KUA NA UMRI MKUBWA DUNIANI AFARIKI DUNIA.

 
Paka mzee kutoka Marekani afariki
Paka aliyewekwa katika kitabu cha kumbukumbu cha Guiness of World record kwa kuwa mzee amefariki.
Scooter aliyesheherekea miaka 30 ya kuzaliwa mnamo mwezi Machi amefariki.
Mmiliki wake Gail Floyd kutoka Texas amesema kuwa paka huyo alifariki baada ya kuthibitishwa kuwa mzee zaidi.
Daktari Tricia Latimer,amesema kuwa Scooter aliishi kwa karibia miaka 136 ya binaadamu na amekuwa akisafiri mara kwa mara.
Kufikia sasa alikuwa ametembea majimbo 45 kati ya 50 ya Marekani.
BOFYA PICHA HAPA CHINI UONE PICHA ZA UCHI BONGO HASA USWAZI
DON'T FORGET TO LIKE THE PAGE IN ORDER TO GET NEWS UPDATES HAPPEN AROUND THE WORLD

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Habari Na Burudani Published.. Blogger Templates
Back To Top