Watu wengi wamekua na wamekua wakijiuliza je wanachukiana??? Sasa Wema Sepetu ameamua kuvunja ukimwa na kujibu kama anamchukia Diamond Platnumz au la! Mskie hapa Wema Sepetu akijibu swali hilo nakusema kua hana tabia ya kuchukia na wala hawezi kumchukia mtu.
Hiki Ndicho Alichokisema Wema Sepetu Kama Anamchukia Diamond,
Sasa tangu mastaa wawili wakubwa hapa bongo, Wema na Diamond Platnumz watemane. Na kila mmoja kwa sasa kaendelea na maisha yake, kwa Diamond Platnumz akiwa na mtoto mmoja huku kwa upande wa Wema akiwa na Boyfriend wake mpya Idris.

Chapisha Maoni