Mbwa awang'ata watoto 11 Uingereza
Watoto 11 wamejaruhiwa katika shambulio la mbwa katika eneo la kuchezea lililozungushiwa uwa.
Mbwa huyo wa Staffordshire alizuiliwa na mzazi mmoja baada ya kuwang'ata watoto hao huko Blyth Northumberland.
Watatu kati ya watoto hao ,ambao walikuwa na majeraha baada ya kushindwa kutoka katika eneo hilo walilazwa hospitalini usiku kucha baada ya shambulio hilo la siku ya Jumatano.
Maafisa wa polisi baadaye walimkamata mwanamke mmoja kwa tuhuma za kumiliki mbwa asiyeweza kumdhibiti.
Miongoni mwa waliojeruhiwa ni msichana mmoja wa miaka saba ambaye anahitaji kufanyiwa upasuaji.
Baba ya mmoja wa watoto waliojeruhiwa alifanikiwa kumfunga mbwa huyo katika uwa,kabla ya maafisa wa polisi kuwasili ili kumpeleka katika kibanda chake.
Chanzo bbc.
BOFYA PICHA HAPA CHINI UONE PICHA ZA UCHI BONGO HASA USWAZIDON'T FORGET TO LIKE THE PAGE IN ORDER TO GET NEWS UPDATES HAPPEN AROUND THE WORLD
Chapisha Maoni